Jumamosi, 18 Machi 2017

FURSA MPYA YA UJASIRIAMALI IRINGA

Namaingo business agency co.ltd Iringa

Ni kampuni ya biashara za kilimo  na mifugo kwa mpango wa vijiji biashara ,kwa miradi ya kufuga nyuki ,sungura,,kuku wa kienyeji. Na samaki .pia kilimo cha bustani za mbkga,miti ya matunda,mronge,na uyoga,ikishirikiana na
     Wadau
NHIF,NSSF,CRDB,NMB,TRA, SIDO TFDA,TBS,TANTRED,nk,
Tunatoa elimu, urasimishaji ,uwezeshwaji,masoko na makazi bora,
    
   2017-2021
Kwa maelezo zaidi fika katika ofisi ya mkoa wa Iringa kata ya makorongoni mtaa wa barabara ya pawaga,maribu na kanisa la pentekosite mkabala na shirika LA Nyumba la taifa
0754404592 mratibu Iringa
06224404592 ofisi kuu iringa
0766938906 mratibu kilolo
0753033020 mratibu mufundi
0763973183 mratibu mufundi
0766937745 mratibu saadani
Barua pepe:namaingoira@gmail.com
S.l.p 625
Iringa

Jumanne, 31 Januari 2017

NAMNA YA KUPATA MTOTO WA KIUME

¤ Siku zote mtoto wa kiume hupatikana siku Mwanamke ameingia Ovulation/yai limetoka na anahamu sana na Mwanaume kuliko siku zote.(Zile I Miss U zinapokuwa zinazidi) Sasa Mwanamke unatakiwa umpe Tunda mwanaume siku hiyo ya kwanza. Kwa wanawake wenye mzunguko wa siku 24 ni siku ya 12 toka alipobleed na Kwa wanawake wa mzunguko wa siku 28 ni siku ya 14 toka alipoanza kubleed. Hizi ni siku za Yai kutoka. ikumbukwe kuwa mbegu ya kiume Y inawahi kufika kuliko X ndo maana nakushauri hivyo. Na pia Y inawahi kufa kabla ya X. Y inaishi siku 2 mpaka 2.5 wakati X inaishi mpaka siku 3 na 3.5 kwahiyo kama ukifanya siku hiyo Mbegu ya kiume itawahi kufika na kurutubisha Yai mapema. Na kumbuka kuwa Ili kuwe na uwezekano mkubwa wa kufika lazima Mwanamke awe Chini na Mwanaume awe juu wakati wa tendo la Ndoa ili kuleta mseleleko mzuri wa mbegu. Na siku zote Mwanaume apige magoli mengi ili kuleta sperm count kubwa zitakazoweza kufika kwenye Yai. Na Mwanamme ukae style ya Missionary kwa mda Mrefu wakati uume upo kwenye uke mwishoni kabisa ili kufikia karibu na Cervix. Note: Mwanaume anatakiwa asimove uume wake wakati amefika kileleni na hakikisha ameuingiza wote.