Jumamosi, 18 Machi 2017

FURSA MPYA YA UJASIRIAMALI IRINGA

Namaingo business agency co.ltd Iringa

Ni kampuni ya biashara za kilimo  na mifugo kwa mpango wa vijiji biashara ,kwa miradi ya kufuga nyuki ,sungura,,kuku wa kienyeji. Na samaki .pia kilimo cha bustani za mbkga,miti ya matunda,mronge,na uyoga,ikishirikiana na
     Wadau
NHIF,NSSF,CRDB,NMB,TRA, SIDO TFDA,TBS,TANTRED,nk,
Tunatoa elimu, urasimishaji ,uwezeshwaji,masoko na makazi bora,
    
   2017-2021
Kwa maelezo zaidi fika katika ofisi ya mkoa wa Iringa kata ya makorongoni mtaa wa barabara ya pawaga,maribu na kanisa la pentekosite mkabala na shirika LA Nyumba la taifa
0754404592 mratibu Iringa
06224404592 ofisi kuu iringa
0766938906 mratibu kilolo
0753033020 mratibu mufundi
0763973183 mratibu mufundi
0766937745 mratibu saadani
Barua pepe:namaingoira@gmail.com
S.l.p 625
Iringa