NTONZO SECONDARY SCHOOL
UYOLE-MBEYA
MOTO: “EDUCATION WITH SCIENCE TO MATCH THE GLOBAL CHANGES”
NTONZO SECONDARY IMESAJILIWA KWA NAMBA S.4937
SHULE YA SEKONDARI NTONZO
IMESAJILIWA NA WIZARA YA ELIMU,SAYANSI, TEKNONOLOJIA NA
UFUNDI (WESTU) KWA NAMBA S.4937
MAHALI SHULE ILIPO
Shule ipo barabara kuu iendayo tukuyu (NTANGANO)- Nje
kidogo ya jiji la MBEYA KM 5 kutoka
stendi ya Uyole
AINA YA SHULE
NI YA MCHANGANYIKO WA WAVULANA NA WASICHANA, KUTWA NA BWENI
NA NI KWA DINI ZOTE.
MAZINGIRA
Ni mazuri na ya kuvutia kwa kufundishia na kujifunzia
HUDUMA MUHIMU; maji,umeme, mawasiliano na barabara.
MCHEPUO
ART (SANAA), SAYANSI NA BIASHARA
MAABARA ZOTE TATU ZIPO NA ZINA VIFAA VYA KUTOSHA
(PIA MAKTABA IPO NA INA VITABU VYA KUTOSHA)
ADA YA SHULE
ADA NI NAFUU SANA AMBAYO MWANANCHI YEYOTE WA KAWAIDA ANAWEZA
KUIMUDU
MASOMO YANAYOFUNDISHWA SHULENI
Civics, history, geography, Kiswahili, English language,
physics, chemistry, biology, basic mathematics, commerce, book keeping,
additional mathematics, literature in English and computer
MTIHANI WA KUJIUNGA NA SHULE
MTIHANI UTAFANYIKA NTONZO SEKONDARI
Awammu ya kwanza: Tarehe 17/9/2016 siku ya jumamosi
Awamu ya pili: Tarehe 8/10/ 2016 siku ya jumamosi
NB. Mtihani utafanyika, utasahihishwa na kutolewa majibu
siku hiyo iyo.
WALIMU
Wapo wenye uzoefu wa kutosha kwa masomo yote.
PRE-FORM ONE Ipo
kuanzia tarehe 19/9/2016.
Ada kwa bweni ni Tsh.150,000/= na Day Tsh. 60,000/= kwa
miezi mitatu (3) na watakao jiunga na PRE-FORM ONE WATAPEWA OFA YA ADA MWAKANI
(2017)
KWA ELIMU BORA YA MWANAO…….
Kwa mawasiliano: 0762 719759/ 0768 504156
0767 276864/
0752645660.
EMAIL: ntonzosec@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni