Mwonekano wa mwanzo wa jengo la utawala |
MOTTO:
“EDUCATION WITH SCIENCE TO MATCH THE GLOBAL CHANGES”
MKURUGENZI
MTENDAJI WA NTONZO SEKONDARI NDUGU MASHAKA MAHINYA ANAPENDA
KUWATANGAZIA WADAU WOTE WA ELIMU NA WAPENDA MAENDELEO YA ELIMU KUWA BADO
ANAENDELEA KUPOKEA WANAFUNZI WANAOTEGEMEA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA PILI NA CHA TATU KWA
MWAKA WA MASOMO 2018-2021, NA MITIHANI YA USAHILI/INTERVIEW INAENDELEA KILA JUMAMOSI YA MWEZI WA 10 HADI MWEZI WA 12 SHULENI NTONZO SEKONDARI.
nembo ya sekondari Ntonzo |
NTONZO SECONDARY IMESAJILIWA KWA
NAMBA S.4937
SHULE
IMESAJILIWA NA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNONOLOJIA NA UFUNDI (WESTU) KWA
NAMBA S.4937
MAHALI SHULE ILIPO
kibao cha shule ya sekondari ntonzo |
Shule
ipo barabara kuu iendayo tukuyu (NTANGANO) - Nje kidogo ya jiji la MBEYA KM 5 kutoka stendi ya Uyole
AINA YA SHULE
NI
YA MCHANGANYIKO WA WAVULANA NA WASICHANA, KUTWA NA BWENI NA NI KWA DINI ZOTE.
wanafunzi wakiwa katika jengo la utawala |
wanafunzi wa sekondari ntonzo |
MAZINGIRA
Ni
mazuri na ya kuvutia kwa kufundishia na kujifunzia
pia shule ya sekondari ntonzo ina mabweni ya kisasa ya wavulana na wasichana
wanafunzi wakiwa darasani wanasoma |
wanafunzi wakiwa nje ya madarasa ntonzo sekondari |
wanafunzi wakiwa katika moja ya mazingira ya shule |
wanafunzi wakiwa katika mazingira ya shule |
bweni la wasichana |
bweni la wavulana |
HUDUMA
MUHIMU; maji,umeme, mawasiliano na barabara.
mwonekano wa mbele wa jengo la utawala Ntozo sekondari |
mwonekano wa kati wa shule ya sekondari ntonzo |
MCHEPUO
ART
(SANAA), SAYANSI NA BIASHARA
MAABARA
ZOTE TATU ZIPO NA ZINA VIFAA VYA KUTOSHA
wanafunzi na mwalimu wakifanya jaribio katika maabara ya physics |
wanafunzi na mwalimu wakifanya jaribio katika maabara ya biology |
wanafunzi wakifanya majaribio katika maabara ya chemistry |
mwanafunzi akifanya jaribio katika maabara ya chemistry |
(PIA
MAKTABA IPO NA INA VITABU VYA KUTOSHA)
baadhi ya vitabu katika maabara |
ADA YA SHULE
ADA NI NAFUU SANA AMBAYO MWANANCHI
YEYOTE WA KAWAIDA ANAWEZA KUIMUDU NA INALIPWA KWA AWAMU NNE
KUTWA-800,000/=, HOSTEL-1600000/=
JANUARI
|
APRILI
|
JULAI
|
OCTOBA
|
JUMLA
|
|
KUTWA
|
200,000/=
|
200,000/=
|
200,000/=
|
200,000/=
|
800,000/=
|
BWENI
|
400,000/=
|
400,000/=
|
400,000/=
|
400,000/=
|
1600000/=
|
WALIMU
Wapo
wenye uzoefu wa masomo yote
MASOMO YANAYOFUNDISHWA SHULENI
Civics,
history, geography, Kiswahili, English language, physics, chemistry, biology,
basic mathematics, commerce, book keeping, additional mathematics, literature
in English and computer
MAHALI
FOMU ZINAPOPATIKANA
FOMU ZA KUJIUNGA NA NTONZO
SEKONDARI ZINAPATIKANA MAENEO YAFUATAYO;
- SHULENI NTONZO SEKONDARI,
- ZUNYA ENTERPRISES –UYOLE,
- STATIONARY KWA MAMA KOMBE- UYOLE
- AGRO-SIMEX –SOWETO MBEYA
- TUNDUMA HOTEL- MOMBA
- SANTONA GENERAL ENTERPRISES STAND KUU- IRINGA
- MAHINYA BROTHERS CO.Ltd- SUMBAWANGA
- MERU SEED.Co.Ltd- MAKAMBAKO
Kwa
mawasiliano: 0762 719759
0768 504156
0768 504156
0767 276864
0752645660.
0752645660.
0789189459.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni